Verse One
Femi, Ndio ule MejjaNdio ule Mejja
Si ulikuwa unadai kuchapiana nae
Ishia ishia ishia
Okonkwo pole nimekuja ghafla, Usijali
Ni vile we hukuwa umenibamba
Aaah Femi One pia kwangu we ni msoo
Kwanza vile ulituosha kwa ile verse ya Ligi Soo
Nakupenda manze we hukuwa mhumble, Asanti
Legend kwangu we ni Icon
Aaah story za icon kwanza eka mbali
Femi One mi hukuwa nimekutamani
Eeh Okonkwo umeanza kunichocha, Ah Zii
Nishow ni wapi ulinionaa
Aah Femi One we unibamba
Kwa Instagram nikicheki izo mapaja
Chorus
Okonkwo na Kitambi Utawezana, NitawezanaNikikupea Utawezana, Nitawezana
Manze Femi One nikikupata aah
Nitakupenda ka vile napenda tambla
Okonkwo na Kitambi Utawezana, Nitawezana
Nikikupea Utawezana, Nitawezana
Manze Femi One nikikupata aah
Nitakupenda ka vile napenda tambla
Verse Two
Iko haga yako ikoNaipenda ka mke nyumbani na mwiko
Mejja umeanza kuniflirta, ah ah
Unataka kunikula kama plata
Hiyo kifua nataka kuichambua
Mi nataka kukulamba mpaka ushindwe kupumua
Kidesign umeanza kunibamba
Nikikupea usiende kutangaza
Hiyo ni siri ka pin number
Sitaambia mtu sitaambia hata King Kaka
Haina noma leo utanikula
Lakini ka ni ndogo usishinde ukikuja
Chorus
Okonkwo na Kitambi Utawezana, NitawezanaNikikupea Utawezana, Nitawezana
Manze Femi One nikikupata aah
Nitakupenda ka vile napenda tambla
Okonkwo na Kitambi Utawezana, Nitawezana
Nikikupea Utawezana, Nitawezana
Manze Femi One nikikupata aah
Nitakupenda ka vile napenda tambla
Verse Three
Napenda machali wako na swagga, okayNikicheki fashion yako hapana
Femi One hao machali look look
Ni look tu lakini hawanaga kitu
Ah nataka kurombosa hadi chini
Ah nataka kuikota huko chini
Napenda kupakwa nikiwa juu
Ah siteti napenda hiyo view
Fungua Bonnet, Okay
Toa screw, aha
Mbona unanidai
Na usiniambie uongo
Ah, nakudai juu umetoka ghetto
Na we ni manzi hardcore
Manzi mathongo
Chorus
Okonkwo na Kitambi Utawezana, NitawezanaNikikupea Utawezana, Nitawezana
Manze Femi One nikikupata aah
Nitakupenda ka vile napenda tambla
Femi Uno
Mtoto wa Hadija
0 Yorumlar